Swahili/Kiswahili

Ukurasa huu una maelezo kuhusu Mpango wa Kurejea Kazini (Return to Work scheme) na usaidizi wa majeraha kazini kwa Kiswahili.

Ikiwa unahitaji maelezo zaidi unaweza kutupigia simu kwa 13 18 55. Ikiwa ungependa kuongea na sisi kwa Kiswahili  pigia simu kituo cha Ukalimani na utafsiri (Interpreting and translating centre), nambari ya simu  1800 280 203 na uwaulize wawasiliane na sisi kwenye nambari ya 13 18 55. Huduma hii ya ukalimani inapatikana bila gharama yoyote kwako.